Jamani hizi ni kazi za Watu, ohooo

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
389072_366802520051765_34865654_n.jpg
 
Naona hao watu wawili(mashuhuda) wanashindwa kushangaa.

Unajua wahindi wanazikana kwa kuchomana moto. Hapo ni petroli au diseli na hizo bomba za plastic (raba). Wanahitaji kiberiti tu, wanafanya mazishi hapo hapo.

Lakini naona moshi mwingi tayari chini ya lori nafikiri mazishi ndio yameanza hapo.
 
Bado sijafahamu hii accident imetokeaje

Hapo kuna possibilities mbili

1. Lori limepiga breki ghafla, na mabomba yaliyobebwa nayo yamesonga mbele kwa ghafla yakatoboa bodi(kichwa) kwa nyuma na kutokea mbele.(Newton's first law of motion)
2. Mbele kulikua na lori jingine lenye mabomba, lori la nyuma huenda limefail breki au dereva kachelewa kufunga breki then ndio ajali ikatokea
 
Back
Top Bottom