Mzee wa ngano
Senior Member
- May 3, 2012
- 184
- 55
Moja ya sifa kuu za wabunge wa CDM ni umaarufu, na umaarufu wao huupata kwakuwa huongea sana bungeni na kwa kiasi kikubwa hoja zao huwakosha sana wananchi wa nchi hii.
Mmoja wa watu niliozoea kuwaona wakipambana ili kuweka mambo sawa ni huyu jamaa wa Kigoma akiitwa kwa jina la Zitto. Ninachoshangaa ni kuwa simsikii tena tangu bunge la katiba lianze. Simsikii akiongea wala simuoni akimulikwa na makamera ili hata tumuone tu kama yupo.
Hivi huyu mtu yupo hayupo? Kama hayupo yuko wapi? Na kama yupo mbona kalowa hivyo? Anakuwa kama Augustino Mrema?

Zitto ana akili nyingi saba mara sabini kuwazidi viongozi wote wa kitaifa wa chadema
Ni mwanasiasa anayetumia akili sana huwez kumfananisha na hao vilaza... situation aliyomo hivi sasa si lazima umsikie...
Hv sasa yupo ki mkakati zaidi ndani na nje ya chama hivyo usitaraji kumsikia akiongea sana.
Kaka usifikiri siasa muda wate ni kukaa unapiga kelele....
Zito ni mwanasiasa(si wakati wote hupinga), hao uliowataja ni wapinzani.(wanachokijua ni kupinga wakati wote).
Hivyo usimfananishe nao make wametofautiana sana.

Chukua like kwanza.,then watu wanashindwa kuelewa kulopoka na kutoa hoja.. huwezi kumlinganisha mnyika na Zitto..Zitto akisimama anatoa kitu chenye mashiko..
Zitto amekwisha kisiasaChukua like kwanza.,then watu wanashindwa kuelewa kulopoka na kutoa hoja.. huwezi kumlinganisha mnyika na Zitto..Zitto akisimama anatoa kitu chenye mashiko..