Jamani hivi mwalimu mweye degree

mishahara inatofautiana sana katika taasisi mbalimbali, ungetakiwa kuuliza mshahara wa mwalimu mwenye degree unaanzia kwa kiasi gani kwenye taasisi fulani let say shule za St Mary's au serikalini.
Ungeweza kueleweka.
 
wabunge walio wengi haswa wa kutoka chama ongozi wanajuā kila mwananchi ni trilionea
 
What? Wewe ni mwanafunzi wa kitivo cha elimu? Maana inawezekana unataka kujua na unawasiwasi kulingana na maneno ya watu unayosikia.
 
mishahara inatofautiana sana katika taasisi mbalimbali, ungetakiwa kuuliza mshahara wa mwalimu mwenye degree unaanzia kwa kiasi gani kwenye taasisi fulani let say shule za St Mary's au serikalini.
Ungeweza kueleweka.

Kwa upande wa SERIKALINI NI SH NGAPI?
Na private ni sh ngapi? MKUU
 
nimemaliza udom bsc-ed(chemistry&biology),physics pia mkali!natafuta shule itakayonilipa laki8.5 niweke mkataba kabisa maana serikali naona wanaleta utani!kama utanihitaji nishitue npo tayari kuanzia sasa sabu npo home tu!
 
kama mchapakaz na ukapata private ya maana,piga mzigo.angalizo private nyingi ni magumashi
 
nimemaliza udom bsc-ed(chemistry&biology),physics pia mkali!natafuta shule itakayonilipa laki8.5 niweke mkataba kabisa maana serikali naona wanaleta utani!kama utanihitaji nishitue npo tayari kuanzia sasa sabu npo home tu!

Jiandae kudhurumiwa
 
TUMESITISHA KUAJIRI WATU WALIOSOMA Udom degree ya education
 
nimemaliza udom bsc-ed(chemistry&biology),physics pia mkali!natafuta shule itakayonilipa laki8.5 niweke mkataba kabisa maana serikali naona wanaleta utani!kama utanihitaji nishitue npo tayari kuanzia sasa sabu npo home tu!

Vipi na maths unavunja?
 
nimemaliza udom bsc-ed(chemistry&biology),physics pia mkali!natafuta shule itakayonilipa laki8.5 niweke mkataba kabisa maana serikali naona wanaleta utani!kama utanihitaji nishitue npo tayari kuanzia sasa sabu npo home tu!

Duh kumbe umesoma UDOM a.k.a chuo cha kata
 
watu hawaombi hushukur walichopata omba samaki upewe nyoka omba upewe usichotaka, cha muhimu kwanza nenda uko kwenye mshahara mdogo, watu wenye mishahara unayotaka ni wale wenye uzoefu wa kusomesha, ukishakua na nzoefu nd utapewa iyo 8.5 unayoitaka
 
Back
Top Bottom