tumiakichwa
Member
- Jan 26, 2014
- 44
- 10
Mbona kama unamuongelea dem mmoja tu,jaribu wengine kama watatu then uje utupe majibu.
wadau habarini!
jamani mwenzenu nina tatzo moja nikitokea kumpenda bint huwa nampenda
sana na hufkia hatua ya hata yy kujua hisia zangu sana,na kngne naomb
mnisaidie hl jambo kuwa nikimwambia nampenda huwa anajibu asante na
hajawah kuniambia ananipenda pia.nikiendelea kusisitza hsia zangu huwa
ananiambia ana mtu then nyie wanaume ni waongo wakubwa bab 1 mama 1, na
nikiamuaga kumpotezea then nikaja kuwasiliana naye mara mojamoja huwa
anakuwa na mwitikio unaotia moyo sana ila nikiwasiliana naye frequently
huwa kama anaboreka na mawasiliano yanakuwa tena ovyo, na nimemkatia
tamaa had sasa na nikamwambia had sasa nimekuelewa ucjar akasema asante.
karibuni ndugu zangu si mnajua mahusiano ni upofu!!!
Una tatizo la kujielezea, ndio maana hata wasichana unaotongoza hawakuelewi.
Kwani nani kakukaririsha kuwa ukimwambia demu kuwa unampenda ni lazima akujibu kuwa anakupenda....!
Nani kakuaminisha kuwa ni lazima upendwe pale unapopenda?
wadau habarini!
jamani mwenzenu nina tatzo moja nikitokea kumpenda bint huwa nampenda sana na hufkia hatua ya hata yy kujua hisia zangu sana,na kngne naomb mnisaidie hl jambo kuwa nikimwambia nampenda huwa anajibu asante na hajawah kuniambia ananipenda pia.nikiendelea kusisitza hsia zangu huwa ananiambia ana mtu then nyie wanaume ni waongo wakubwa bab 1 mama 1, na nikiamuaga kumpotezea then nikaja kuwasiliana naye mara mojamoja huwa anakuwa na mwitikio unaotia moyo sana ila nikiwasiliana naye frequently huwa kama anaboreka na mawasiliano yanakuwa tena ovyo, na nimemkatia tamaa had sasa na nikamwambia had sasa nimekuelewa ucjar akasema asante.
karibuni ndugu zangu si mnajua mahusiano ni upofu!!!
ni kwel msweet nakubal si kila unapopenda na yey akupend lakn bint mwenye hisia anafahamika,mfano huyu bint ktk maongez naye alweza kunijibu "sawa" pale nlpoendelea kumwambia nakupenda,sas nlpotaka kufaham zaid muitikio wa sawa kwa maana gan negative au positive akasema yeye hajui cha positive au negative akaniulza kwan nlkuwa nataka jbu gan,na klcho zaid ya yote tu alponiambia kuwa wenzako wanafuatilia had miaka 3 sembuse ww miez 4 hyo unachoka
Una tatizo la kujielezea, ndio maana hata wasichana unaotongoza hawakuelewi.
Una tatizo la kujielezea, ndio maana hata wasichana unaotongoza hawakuelewi.
Mpe muda wa kudigest yooote hayo ulilyomweleza. Wala usimlazimishe akujibu unachokata wewe. Au na wewe una haraka haraka.
Uzoefu wako ni mdogo.mimi nimewagegeda 360 na leo naowa inatakiwa upate uzoefu kama wangu itakuepushia maswali madogo madogo kama haya unayoyauliza.
Ni muda gani reasonable kwake ku-digest ili tumiakichwa asubiri?Mpe muda wa kudigest yooote hayo ulilyomweleza. Wala usimlazimishe akujibu unachokata wewe. Au na wewe una haraka haraka.