Mlendamboga
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 670
- 347
: http://jkt.go.tz/mujibu-tatu.html
Tangu juzi vijana wanahangaika kuangalia majina yao wapi wajitupe kuhudhulia mafunzo ya ukakamavu kwa mujibu wa sheria lakini website ya JKT www.jkt.go.tz imekuwa kero, haifunguki, na ukienda kwenye hiyo link ya hapo juu inakwambia
[h=1]Bandwidth Limit Exceeded[/h] The server is temporarily unable to service your request due to the site owner reaching his/her bandwidth limit. Please try again later.
Apache Server at jkt.go.tz Port 80
kaazi kweli kweli mnawatesa wadogo zetu bana! deadline 28 sept, halafu mtu hajaona jina lake anakwenda wapi au ndiyo mafunzo yenyewe yameanza hivi kwa kuhangaishana?