fakalava JF-Expert Member Joined Jul 16, 2015 Posts 4,459 Reaction score 6,033 Oct 8, 2015 #61 leipzig said: Mbona huyo mtoto ana hirizi mkononi?itakuwa baba ana imani za kishirikina! Click to expand... Siyo hirizi au watu hamuoni vizuri? Hiyo ni iWatch ni saa mpya za Kampuni ya Apple.
leipzig said: Mbona huyo mtoto ana hirizi mkononi?itakuwa baba ana imani za kishirikina! Click to expand... Siyo hirizi au watu hamuoni vizuri? Hiyo ni iWatch ni saa mpya za Kampuni ya Apple.
K Kanyigo JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 1,027 Reaction score 194 Oct 8, 2015 #62 Kweli kuzaa si ujanja wetu ni mipango ya mwenyezi..chopo hawa mabinti wanatoa sana mimba wakome