Jamani msikariri kuwa kila anayetoa mimba anakuwa hasa kuna watu wameolewa mabikra n'a hawajazaa mi kuna mtu namfahamu katoa mimba.si chini ya 8 n'a ana mtoto n'a ana mimba nyingine Acheni kuhukumu kwamba waliozaa Ndio walikuwa wasafi n'a matasa wametoa mimba