Kwa mtiririko huu wa post za kipuuzi zinazotungwa na watoto wa kiume...inaonyesha dhahiri kuwa kwa kadri miaka inavyozidi kusonga ndivyo wanaumume wanazidi kupungua na kubaki watoto wa kiume....jambo la kipuuzi kama hili haliwezi likamshughulisha kichwa mwanamume kiasi cha kutaka ushauri mbele ya wanaumume wenzake...mwanamume hawezi kujawa na hofu kwa vitu visivyo na mashiko kwani muda mwingi huutumia kuwaza mustakabali wa maisha yake na wategemezi wake......wanaume dizaini ya mtoa mada ndio aina ya wanaume waliopoteza maana ya mwanaumume kuitwa kiongozi..........