hana kazi, alimshirikisha sana na ndo maana alikwenda kuona maendeleo ya mjengo. inawezekana kuna mtu anamtia kiburi.swali kwa mtoa mada
1.Huyo mwenzako anafanya shughuli gani na wapi?
2.kama ulimshirilisha kuhusu ujenzi na akaafiki,kwa nini amekugeuka?
possible, coz kuna tetesi kuwa anatoka na sales man mmoja hapa kazini.huenda demu ana kibuzi chake hapo jirani kinachomshughulisha so hataki kukaa mbali nacho teh teh teh... kama vipi aanze zake huko kijijini tu, huyo demu asipomfuata basi ajue si ridhiki
Piga chiniiiiiiiii.
Piga chiniiiiiiiii.
hii ndio saizi yake huyo mama mpenda kukaai vibarazani kusogoa badala akalime mihogo na kufuga kuku huko shamba anahisi atakuwa mbali na kiserengeti chake na mashostitoMambo mengine sio ya kulazimisha sana, kama amekataa kuhama waweke makubaliano; mwanaume awe mpole na amweleze mkewe kwa upole kua sasa yeye hana uwezo wa kulipa kodi anymore, hivo yeye huyo dada alipe hio kodi na mwanaume ajitoe... Yaweza saidia kumumrudisha katika mstari dada....