Wana JF wakati report za CAG zinaonesha kuliwa kwa fedha za walipa kodi kwa kiwango cha kutisha pengine tunaulizana kwamba hawa jamaaa wanazipeleka wapi pesa zetu??? Waziri mmoja amaejenga nyumba ya kutisha katika moja ya mitaa ya Jiji la Mwanza, Waziri huyu anatoka katika wizara moja nyeti. Tena waziri mwenyewe kijana. Tutafika jamani?????

Wizara yake inashughulika na kuchimba mashimo na uharibifu mwingine wa mazigira + uzulumati wa lasilimali zisizooza za watanzania . Pia ndio yule anatumia pesa nyingi lakini anakusanya kidogo katika kuzalisha ile bidhaa inayoangazia maisha yetu
Anaitwa WILLIAM MAIGE NGELEJA we don't need any homework here mwizi ni mwizi tu.. Usipindishe maneno
Wana JF wakati report za CAG zinaonesha kuliwa kwa fedha za walipa kodi kwa kiwango cha kutisha pengine tunaulizana kwamba hawa jamaaa wanazipeleka wapi pesa zetu??? Waziri mmoja amaejenga nyumba ya kutisha katika moja ya mitaa ya Jiji la Mwanza, Waziri huyu anatoka katika wizara moja nyeti. Tena waziri mwenyewe kijana. Tutafika jamani?????
jamani huyo wazilri navuta hisia kuwa alisoma ihungo high school (mastering for services) HGE wenye data waseme jamani hivi hilo ndilo alikuwa anatumia au alipofika chuo kikuu alibadili maana mie nilikuwa mdogo form one akiwa f5 na 6 alikuwa katibu wa shule m/kiti wake aliitwa alex bukwimba walikuwa vichwa laikini namshangaa kuwa fisadi ebu mwageni data hasa waliosoma naye f1 au f6Jamani mbavu zanguuuuuuuu!!!!
NgekejaKwahiyo tukapige Ramli ili tumjue.
tena waziri mwenyewe anapenda kunyoa '****'