Yani sie ni wavivu mpaka kwenye kulinda mali zetu!
Sisi ni wavivu mpaka kwenye kutetea kilicho bora...!
Hivi mlima kilimanjaro uko dodoma ama nairobi?
Weraaaa weraaaa.... Kufa kufaana,wengine huku kwetu ni kicheko maana ndio muda mzuri wa kutembelea na kukagua bustani zetu kuangalia kama palizi zimefanywa kwa umakini. TANZANIA TANZANIA NAKUPENDA KWA MOYO WOTE
Aisee amenielewa nashukuru sana mkuu....:couch2:Mwambie kesho ni mapinduzi dhidi ya muungano!
Mwambie tumechoka kuusikia huu muungano kati ya zanzibar na zimbabwe! Tunataka tuuvunje!
Mtot wako atakuelewa sana!
Nimekereka sana hii habari,Hakika inaonesha wazi viongozi wetu wameridhika na umasikini tulionao ndio maana wanataka tupumzike.
Its long weekend, kwa wengine ni raha especially walimu