yaan mimi mwenyewe nimebaki hoi baada ya kusikia eti kesho tunapumzika kwa ajili ya siku ya mapinduzi ambayo imeadhimishwa leo.......
iam bored DEMBA... kipato chenyewe hiki cha kulenga kwa manati! mtu tu from nowhere sijui magogoni anasema tu kesho na kesho kutwa mapumziko!!
hivi hayo mapinduzi yenyewe yako wapi?????????
mbona hatuyaoni? si hao hao ndio wanasema tutengane? si wantaka waende zao? wapeni nafasi wasije wakatunywesha sumu!!
by the way, haikuwa lengo hilo... mi ninachopinga ni hii misikukuu inayoingiliana na siku za kazi.! i hate them so much!!
Hahahahahaaaa!
Kwaiyo na mimi nikiwa na mapenzi na uchumi nijeniweke macalculation yangu hata???
...
Anyway!
Tena holiday yenyewe kaitoa Dr. Shein!!!!!
Acheni tupumzike........tumechoka sana leo........mapinduzi yalikuwa moto moto kweli kweli........
Nimekereka sana hii habari,Hakika inaonesha wazi viongozi wetu wameridhika na umasikini tulionao ndio maana wanataka tupumzike.
hahahaaa!! unalo...! wala sio mapinduzi!
hivi huyu ni Dr wa nini?
by the way, kwa nchi changa kama hii, kulikuwa na haja kabisa ya kuongeza masaa ya kufanya kazi..!
yani kuanzia saa mbili asubuhi mpaka saa moja jioni na si vinginevyo!! angalau hapa tungepiga hatua kubwa kiasi!
japo tuna changamoto katika vitendea kazi, lakini kuna haja ya kuongeza masaa ya kufanya kazi, halafu mshahara nao ulipwe kwa masaa sio mwezi! hii itawakamata wengi!
Its long weekend, kwa wengine ni raha especially walimu
hahahaaa mkuu umenikumbusha ki2 hyo ya kulipwa kwa masaa iko ki sayansi zaidi kuna huyu mtu Fredrick Taylor anadai kuwa mtu alipwe kutokana na mda anaotumia kazin na sio zengwe znazofanyika ktk nch ye2 hii
Zawadi ni Zawadi jamani, hamuwezi kufurahia wote. Hivi kwani ukienda kufanya kazi kuna mtu atakuzuia. Kama kuna HR hapa aniambie ana ED/Ex use ngapi za kutokuja kesho kazini.