Jamani hii mvua ya leo jangwani panapitika?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,311
142,505
Naomba mwongozo niko maeneo ya bibi Titi Nssf nataka kuelekea magomeni mwembechai, je Jangwani panapitika au nizunguke kupitia kigogo?

Nitashukuru kwa mwongozo wakuu!
 
Back
Top Bottom