Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,267
Ubaguzi wa Rangi hautoisha mpaka siku ya Kiama haya huyo ni Waziri wa Utamaduni wa Sweden anakula Keki yenye umbo la Mwanamke Mweusi ahhh Watu Weusi sijuwi wamekosa kitu gani kwa hawa Mashetani weupe?
Itabidi na sisi tuanze kuwabagua!
Anza kuwabagua kwa kutoa hiyo aviator yako ya mzungu.....Vitendo sio manenomaneno
Anza kuwabagua kwa kutoa hiyo aviator yako ya mzungu.....Vitendo sio manenomaneno
Mlengwa hapo ni Muislamu si Mwafrika! angalia sehemu zake za siri zinatahiriwa!Tatizo hapo lipo kwa watu weusi wenyewe !!
Watu weusi wanajipendekeza sana kwa wazungu, matokeo yake ndio hayo.
Watu weusi wakiamua kusimama wenyewe kwenye mambo mengi, bila kujikomba kwa wazungu kwa njia za kuomba-omba misaada, hisani, nk. hawatanyanyaswa hivi.
Sidhani kama huyo waziri wa Sweden anaweza kutengeneza keki kama hiyo inayomdhalilisha mwanamke wa Ki-arabu, au mwanamke wa Ki-china. Hawezi, maana anajua kabisa moto wake utakuwa vipi.
Unaropokwa au umetikisika ubongo !!? Uislaam ni dunia nzima na hauna ukabila wala mwanamke hatairiwi ! Kama umetumwa sema tuu, tukuanzishie !Mlengwa hapo ni Muislamu si Mwafrika! angalia sehemu zake za siri zinatahiriwa!
Nilisema Uislamu au Muislamu?...nikumbushe.Unaropokwa au umetikisika ubongo !!? Uislaam ni dunia nzima na hauna ukabila wala mwanamke hatairiwi ! Kama umetumwa sema tuu, tukuanzishie !
We umepokwa ubongo ?? Kwani Uislaam nikoti linalovaliwa na Muislaam !?Nilisema Uislamu au Muislamu?...nikumbushe.
Unamaanisha nini ukisema/ukiuliza Uislamu ni koti linalovaliwa na Muislamu?We umepokwa ubongo ?? Kwani Uislaam nikoti linalovaliwa na Muislaam !?