Jamani hii inawezekana?

Pole ndugu yangu,Yaani mtu wa aina hiyo ni mkosi mkubwa yaani anakuwa anaua wanaume kama ni mwanamke kama ni mwanaume pia anaua wanawake.

Kwetu tunaita Kifwiro.

Dah nyie ndo source ya kuua albino mnahitaji kutafutwa na kupewa adhabu kwa kosa la kuenea ujinga
 
Pole ndugu yangu,Yaani mtu wa aina hiyo ni mkosi mkubwa yaani anakuwa anaua wanaume kama ni mwanamke kama ni mwanaume pia anaua wanawake.

Kwetu tunaita Kifwiro.
una ushahidi na hili? umekagua wangapi ambao wamefiwa na wake au waume zao kwa sababu hawana nywele sehemu za siri?? ww uliwajuaje? swali la mwisho vipi kwa wanawake wenye ndevu nao hebu toa opinion yako?
 
Kuna mama mmoja kijijini kwetu walidai kuwa naye haoti nywele kama huyo mpenzi wako, basi kila aliyemuoa alikufa kabla ya muda wake, alikuwa na msururu wa wanaume wote wakiwa wamekufa. Katika kabila letu inaaminika ukipata wa hivyo, chimba kaburi lako mapema!
 
Kama utahitaji awe na nywele hiyo sehemu...tuwasiliane nukuuzie wigi la hapo.usijali kuhusu size ni free size kutoka dubai.
 

Mkuu kama umekaa kusubiri ushahidi wa moja kwa moja ndio unaambiwa ushahidi huo utakuja kutokea umarehemu utakaomkumba mshkaji wetu, yeye atakosa nafasi kuuona ushahidi huo "wa moja kwa moja"

Ni vizuri ukapunguza nahau na kuachana na miubishi isiyo na tija ukamponza mwezio bureee!!!!!

Hata mimi simo najitoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…