Mmh...!!
Weeee !@Donatila upo serious?au umeamua kumrusha roho tuu kijana wa watu
Tusubiri mrejesho wake akiwa maiti mi sipooooooooDonatila umesema kweli kwa iman ambazo ziko tokea zamani
sijui kama ni kweli kwamba wote ambao wana mikos ya kufiwa na wenzi baso hawana nywele sehem za siri
Imani ipo na imejengeka zaid kwenye mikoa flan flan ivi.
ushauri wangu kwa mleta mada usije ukamwaga kwa sababu hiyo manake pia haiko jusfiable
Mmmh vitisho vishaanza tayari
Tusubiri mrejesho wake akiwa maiti mi sipoooooooo
sijakukatalia lakni sasa hakuna ushahidi wa moja kwa moja manake ni ngumu sana kujua kwamba huyu mtu anafiwa fiwa hovyo na wenzi hana hizi nywele. ingekuwa kipara cha kichwa cha juu mtu waweza kusema jambo.
nijuavyo ni kweli kuna watu ambao kila wakioa ama kuolewa wenzi wao hufariki na ukitaka kujua mtu wa aina hivyo utakuta unapokwenda kuchumbia mmoja wa mzazi ni marehem watoto wa familia waliooa ma kuolewa nao wenzi wao ni marehem pia ama wote ama wachache na kama wewe ndo wa kwanza kuoa kwenye familia inakulazimu kuongeza sample size yako kutoka kwenye familia kwenda kwa ndg kama baba wadogo na wajomba utakuta wengi ni wafiwa na wengine not only once.........
ni jambo la kiroho zaid na ni aina ya pepo la mauti sidhan kama lina ushirika wa moja kwa moja na hizo nywele. ama labda tuseme uwepo wa ilo pepo ni izo nywele kutokuwepo?
sasa nimeelewa kwann maeneo fulan fulan majina ya Kipara ni mengi mno kumbe hii ndo sababu??Sikia yaani ni hivi huyo muhusika anaitwa KIPARA na ni kwasababu hajaota msitu yaani hizo nywele sehemu zile, hivyo anapelekea mume au mwenza kufa.Lakini kama atakuwa anaimani na YESU hapo hatapata tatizo.
Hapana dadangu sijawahi ndio maana nikahisi labda donatila kaamua kumtishia tuu kaka wa watu halafu mbona haya mambo hayana connection kabisa mtu kutokuota nywele na kufiwa na mwenzi wake wapi na wapi?inamaana Gemmy hujawah kuskia aya?
ni ukweli na ni imazi za baadhi ya kabila fulan fulan
hata ivyo hakuna ushahid wa moja kwa moja kwamba wote wapatwao na mikos ya kufiwa na wenzi mara nyingi basi hawana hizo nywele.
zaman ilikuwa ukikua unamabiwa kabisa koo fulan hawana nywele wale wakioa ama kuolewa wenzi wao hufariki sasa sijui walikuwa wanajuaje hayo
Kweli sitanii na kule kwetu nishaona watu wakifa
Hapana dadangu sijawahi ndio maana nikahisi labda donatila kaamua kumtishia tuu kaka wa watu halafu mbona haya mambo hayana connection kabisa mtu kutokuota nywele na kufiwa na mwenzi wake wapi na wapi?
Kwenu ni wapi mpenzi??
Mmmh jamani hata kapicha hakuna!!
Mmmh! kwahiyo umeunganisha matukio kwasababu watu wanaitwa mzee kipara kafiwa na mkewe basi je hao watu wanaitwa vipara sio kwa vipara vya kichwani? na je mtu akiwa na kipara huku juu kuna uwezakano akawa haoti nywele za sirini?apana ni ukweli kabisa ila sikuwah kujua kwann inakuwa hivi.
leo ndo nimejua kwann kuna maeneo yana watu wengi wanaitwa kipara na pia ukiangalia utakuta huyo mzee alishawah kufiwa na mke ama wake
Umenichekesha sana jamani
Pole ndugu yangu,Yaani mtu wa aina hiyo ni mkosi mkubwa yaani anakuwa anaua wanaume kama ni mwanamke kama ni mwanaume pia anaua wanawake.
Kwetu tunaita Kifwiro.