Jamani heri ya mwaka?

Unique Flower

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
12,841
Reaction score
25,351
Kuna mtu ana kimtandao chake kipo moshi hiki kimtandao nakitumiaga kwa matangazo ya kazi na kazi ya udalali . Sasa wanatangaza sana kazi za finance na accountants . Kidhibitisho hiki hapa ila sasa hapa mie malaya siwezi kuwasaidia . Mie najua nini ila ni mtandao mzuri sana unapata kazi . Kwa haraka
 

Attachments

  • 20240104_085127.jpg
    7 KB · Views: 7
Wanawake wengi ni malaya kwahiyo usijiisolate la mama. Anza toba na kubali kubadilika kabisa
 
Heri ya mwaka mpya maua...

Futa hiyo sifa mbaya uliyojiwekea hapo...
 


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…