Jamani haya makubwa!! Hebu oneni

ladyfurahia

JF-Expert Member
May 10, 2011
14,699
9,461
Mhm! mimi nashangaa kabisa hebu soma kisa hiki hivi ni kweli jamani!

"Baada ya Mahubiri: Mchungaji akawaambia waumini wake wafumbe macho....; Akainama na kuingiza mkono katika kapu la sadaka kwa nia ya kuiba, kuinua kichwa akakutana na macho kwa macho na Mzee aliyekuwa (amechelewa) kuingia katika Misa kanisani; Mchungaji akasema: "HERI YAKE YULE ASIYESEMA KUHUSU YALE ALIYOYASHUHUDIA KWA MACHO YAKE", Naye Mzee akamalizia kwa kusema: "MAANA ATAPATA MGAO WAKE BAADA YA MISA HII".

nilibaki mdomo wazi nikishangaa jamani kuna vituko duniani we acha tu.:bange:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom