Jamani, hawa warudi, wasirudi??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani, hawa warudi, wasirudi???

Discussion in 'International Forum' started by Roulette, Apr 14, 2011.

 1. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #1
  Apr 14, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Kuna wacongo 60 000 wanaishi tanzania toka mwaka 1996. Wanaishi kambini ila humo humo wanaoa, wana zaa, wanafanya byashara, wanalima nkk. HCR wakiulizwa kuhusu kududi kwao Congo wanasema wamerudisha watu 27 out of 60 000. Nyinyi mnaonaje hapa? :A S clock:

  "Most of more than 60,000 Congolese refugees living in Tanzania say they expect the end of the school year before returning to their homeland, "said Provincial Minister of Interior of South Kivu, Etienne Babunga, after the outreach mission of four days he conducted with representatives of the UN High Commissioner for Refugees in Tanzania.
  During this mission, Congolese refugees have demanded that the Congolese authorities to ensure their safety for their return.
  They also sought a framework conducive to home schooling for their children as well as free access to their heritage land occupied since their departure.
  The provincial minister said that some refugees, especially young people, do not show a clear intention of wanting to return to DRC.
  In the refugee camps where they are, these young people hanging around, relying on the goodwill of the international community to survive, denounced Babunga Etienne.(source, Radio Okapi)
   
 2. c

  chetuntu R I P

  #2
  Apr 17, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kuna wengine zaidi ya 1000 wako departure centre wamehifadhiwa zaidi ya mwaka sasa hawajui status yao wanaitwa asylum seekers, wanazaliwa watoto kati ya 200-250
  kwa mwezi. Wanalima, anafanya uvuvi hadi mwanza. Wametawanyika sana wanarudi wakati wa verification exercise tu. Nilikuwa kwenye team ya go and see , come and tell to DRC, huduma za afya ni duni. Hawataki kurudi kwa sababu wakirudi DRC wataanza kujitegemea kwa kila kitu, huduma za afya, chakula na huduma nyingine. Imagine katika miezi mitatu Jan-March wameenda individual 27, familia 9 kambi ya nyarugusu. Kwa sasa kuna stratergy ya kufunga soko na maduka (biashara) kuhamasisha warudi kwao. Bila kuwa na strong mikakati wataendelea kubaki tu.
   
 3. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #3
  Apr 17, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Tuchaguwe wenye vipaji maalum, soka, shule.... etcl tuwape uraia.. walio good for nothing warudi kwao
   
 4. c

  chetuntu R I P

  #4
  Apr 17, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mkuu hata kuimba kuna band ya Red Cross ni hatari Akudo, Fm academia nyuma.
   
Loading...