"Jamani hawa jamaa sijui vipy" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"Jamani hawa jamaa sijui vipy"

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Chabo, Nov 30, 2011.

 1. C

  Chabo JF-Expert Member

  #1
  Nov 30, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 785
  Likes Received: 252
  Trophy Points: 80
  Mm nazungumzia hawa wajasiriamali wauza chips mitaani(take away).hivi hawa jamaa mbona huwa hawajali wateja wageni?
  Mfano;unaagiza wa kwanza tena unakuta hakuna mteja hata mmoja,wakati unasubiri anakuja jamaa anayemjua jina huyo muuzaji na kupewa kile ulichoagiza ww.mm nauliza hivi hawa wanatofauti na makonda kweli kiutendaji?
  t
   
 2. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #2
  Dec 1, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Usile hizo za mtaani utakula na nzi mana hao jamaa ni wachafu kweli...
   
 3. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #3
  Dec 1, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ndio maana hawaendelei. Akitokea mmoja awe msafi msafi na anajua kuwajali wateja anaendelea haraka na kufungua ka restaurent ka kiushkaji
   
 4. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #4
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  duuuuuuu, mambo ya kula kula sio!
   
 5. TheChoji

  TheChoji JF-Expert Member

  #5
  Dec 1, 2011
  Joined: Apr 14, 2009
  Messages: 672
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 60
  Kwani siku hizi wameacha kutumia mafuta ya transfoma?
   
 6. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #6
  Dec 1, 2011
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,354
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Hiyo biashara ya wapi? ukinitajia sehemu nitajua hasa sehemu ambazo wenye nazo wanapita sana!
   
 7. v

  valid statement JF-Expert Member

  #7
  Dec 1, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Usirudi tena kwake. Huo sio utaratibu sahihi wa biashara huo.
   
 8. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #8
  Dec 1, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  mkate kidevu ili ajifunze ukimwacha
  hivihivi hataacha katabia hako
   
 9. C

  Chabo JF-Expert Member

  #9
  Dec 1, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 785
  Likes Received: 252
  Trophy Points: 80
  kwa wapemba wote.
   
 10. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #10
  Dec 1, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hawana elimu ya kumjali mteja, hata hivyo jali afya yako kwanza
   
 11. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #11
  Dec 1, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Junkie food.
   
Loading...