Umenena ki nabii kabisa mkuuIla wanaume wana mbinu. Ukute mtu kapigwa sound, akaingia kingi kumbe jamaa alitaka kujilia mzigo asepe.
Huku bi dada keshapanga ndoa na honeymoon kabisa.
Na huko kusema jamaa ana hela ikiwa humjui kiundani ndio mnaishiaga kugongwa na madalali wa magari, mafundi garage na majaa wa carwash.
π π π Wamependana mkuuKwahio huyo mburushi ndio kakupagawisha π€£π€£π€£!!! Njaa mbaya kmmmk
Aah uko sure anafata mali??Baadae ukija kugundua mali zake kaandika jina la mama yake usituletee insha humu
Na ikawe kheri binti yangu [emoji120]Nimekaa tu zangu home nilikuwa nimechill home basi nikaona simu nipo maeneo yenu , nikasema powa , nani jamani yule Mtu tumuite shado , humu Kuna siku Mtu alikuwa ananidis sana nawengine wakaniita Malaya , before mengine , kumbe mmenipamba sio mmenichafua.
Ilikuwa surprised sana KUONA kijana anasema ni PM nikasema ni wale wale tu nikavunga ila mwaka huu nikasema why not ngoja ni mpe tu nafasi mwana,nikamtext after 1 week akadai naomba namba ya simu , [emoji39][emoji2957] nikampa , .
Almost 1 week akaja akanitext upo sehemu powa nikajibu ndio , akaanza kunicall sikupick maana nilikuwa nipo busy na kupika maandazi , HUMU JF sijawahi kupata mwanaume so unique, kind , special na anamshiko kama yeye walahi , na jingine nimeongea truth tu kuwa Hana demu na haingiagi humu mara Kwa mara na nimekaa naye tufew days charting, kweli Kuna msemo , mmoja ukitaka kitu lazima ukiget , mwana majuzi idd kaja home kwetu around 1pm saa Saba akatua kwetu sio stendi nje ya nyumba yetu nilimueleza mengi nakumpa direction sijawahi mvulia sidiria Wala Pichu but wewe ni amazing , mtoto sio mtanzania mtoto ni half american plus German bibi ni mgermany Babu muamerica , mama yake mtz weeh , bonge la handsome boy sio baunsa Wala ni tall kiasi, mweupe , na nimwembamba kaja kwetu kaulizia mama , saivi ninavyokuambia katoa kishikizo uchumba next week ndio atakuja rasmi akitoka porini tukae nimfahamu ila kasema anakuja home au mahali popote niwe na ndugu yangu au mama , .
Ili visitendeke maajabu , aoe kitu hakijui akija nitashukuru sana walahi , kaniachia mzigo wa Mimi kuenjoy ,Sasa mtajiju kama mnanichukia huku siami maana hiyo sio Moja tu watu wameleta wengine wawili posa huyu mwamba haelewi kiswahili vizuri hadi asome hii post kachoka sana ..... Mashallah nyie waislamu mmeniletea baraka jamani , ni mzuri sana sana
Babu mgermany, bibi muamerica, mama mtz, mtoto Muha π π πAah uko sure anafata mali??
Mkuu itakua ni typing error tu ππBabu mgermany, bibi muamerica, mama mtz, mtoto Muha π π π
(Waha ni watani zangu)
Matusi haya sasaEPUKA MATAPELI JF HAMNA MWANAMKE WOTE HUKU NI MEN
Hapana, hii imeandikwa na muhusika kwa usahihi kabisa π πMkuu itakua ni typing error tu ππ
Nimekaa tu zangu home nilikuwa nimechill home basi nikaona simu nipo maeneo yenu , nikasema powa , nani jamani yule Mtu tumuite shado , humu Kuna siku Mtu alikuwa ananidis sana nawengine wakaniita Malaya , before mengine , kumbe mmenipamba sio mmenichafua.
Ilikuwa surprised sana KUONA kijana anasema ni PM nikasema ni wale wale tu nikavunga ila mwaka huu nikasema why not ngoja ni mpe tu nafasi mwana,nikamtext after 1 week akadai naomba namba ya simu , ππ€ͺ nikampa , .
Almost 1 week akaja akanitext upo sehemu powa nikajibu ndio , akaanza kunicall sikupick maana nilikuwa nipo busy na kupika maandazi , HUMU JF sijawahi kupata mwanaume so unique, kind , special na anamshiko kama yeye walahi , na jingine nimeongea truth tu kuwa Hana demu na haingiagi humu mara Kwa mara na nimekaa naye tufew days charting, kweli Kuna msemo , mmoja ukitaka kitu lazima ukiget , mwana majuzi idd kaja home kwetu around 1pm saa Saba akatua kwetu sio stendi nje ya nyumba yetu nilimueleza mengi nakumpa direction sijawahi mvulia sidiria Wala Pichu but wewe ni amazing , mtoto sio mtanzania mtoto ni half american plus German bibi ni mgermany Babu muamerica , mama yake mtz weeh , bonge la handsome boy sio baunsa Wala ni tall kiasi, mweupe , na nimwembamba kaja kwetu kaulizia mama , saivi ninavyokuambia katoa kishikizo uchumba next week ndio atakuja rasmi akitoka porini tukae nimfahamu ila kasema anakuja home au mahali popote niwe na ndugu yangu au mama , .
Ili visitendeke maajabu , aoe kitu hakijui akija nitashukuru sana walahi , kaniachia mzigo wa Mimi kuenjoy ,Sasa mtajiju kama mnanichukia huku siami maana hiyo sio Moja tu watu wameleta wengine wawili posa huyu mwamba haelewi kiswahili vizuri hadi asome hii post kachoka sana ..... Mashallah nyie waislamu mmeniletea baraka jamani , ni mzuri sana sana
Mimi nliwaambia ana matatizo ya akili mkabisha. Hapo ana imagine vitu.Hata Nzega wapo wa hivyo, kuonekana chotara. Ukichunguza sana unakuta ni Mnyamwezi pure. Kipindi hicho chupi ushavuliwa na mwamba kaingia zake mitini kwenda kuvuna tumbaku Tabora. Anaishia kuja kuanzisha thread za kutukana wanaume humu.
Ila huyu demu kuna kitu hakipo sawa sehemu hasa kwenye afya yake ya akili.