Jamani first year mimi nakufa njaa chuoni

ndio mkuu hasa kwa waliokomunika au wapiga pass maarufu.
Nikikumbuka maisha ya chuo nnaamua kumuachia Mungu aiseee
Mi 1 yr mzumbe BAF-PS... Mkopo imekuwa kama miyeyusho... Ndonafikiria naendaje kuishi pale.... Sijui 1500 kw siku... Daaa
 
Ungekua binti usingehangaika hata kidogo. Pole sand kwa kuzaliwa mtoto wa kiume we pambana tu.
 
Mimi ni kigogo huku serekalini kama wewe ni ke please niPM namba yako ya simu![emoji1]
 
..usiJali mdgo wangu Upo field hapo,wagonjwa huwa tunapitia taabu za hivyo na zaidi tukiwa tunasubiria huduma hospitalini,kaza Moyo!!
 
Kumbe unapata hata buku ya kula wali maharage. Mbona maisha matamu sana hayo. Kuna watu wanakula mkate wa buku siku tatu kwa maji ya kudownload. Ila pole utapata mokopo batch zijazo.
 
Ha ha ha,poleni vijana,najua mnapitia hali ngumu,jk aliwazoeza vibaya,ila mtazoea tu polepole.

Edit--sikucheki,nachekeshwa comment za watu humu
 
ungekuwa dar ningekupa offer ya kukaa kwangu
Tena......[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…