Jamani first year mimi nakufa njaa chuoni

We ni van dame bhana,komaa tu. Vipi upo mkoa gani? Kama ni iringa uwe unakuja geto hapa mkwawa unakula kisha unaenda kusoma
Duuu! Majina mengine bna !!! Yakukosesha mambo!... Eti ..( van same)[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Halafu pesa unasema elfu hamsini "tu" wakati unadai unashindia buku. Weka details zako zote za chuo zinazokutambulisha hapa na uthibitisho kuwa huna mkopo.
Mkuu naomba msaada wako wa kipesa mpak mda huu sijala kitu MUNGU ANIOKOE NA SHIDA HIZI.
Magufuli MUNGU ampe maisha marefu.
 
Nahisi uwezekano upo, maana sifa tunazo na kozi ni priority. Mungu atusaidie tu
 
nipe nitatue mari.n.da upate pocket e. money.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…