Jamani first year mimi nakufa njaa chuoni

van dame

Senior Member
Joined
Apr 14, 2015
Posts
114
Reaction score
23
Wakuu hali inazidi kuwa ngumu..!!
Siku hizi nakula mlo mmoja tu usiku.
Tena wali maharage 1000/=
Bila hata maji ya kunywa.
Wazazi hawana pesa wanasema wamekopa mpaka wamechoka.
Naombeni ushauri nifanye nini???
Nimechaguliwa BACHELOR OF SCIENCE IN NURSING lakini nmekosa mkopo.
Mbna KOZI ZA AFYA MAGU kasema frst priorty ila mimi nmekosa kabisa..
Naombeni msaad jamani wa kifedha nitakufa njaaa.
NAHITAJI MDHAMINI WA KUNIPA PESA YA KULA HATA 50,000.
ASANTENI.
 
Nakumbuka enzi za chuo tulikuwa tunapanga foleni kwa muuza mihogo bila kujali sister du wala nini wakati boom linapochelewa kutolewa, ila likija huyo jamaa tunamsahau kwa muda.
Maisha ya chuo niliyaona magumu sana lakini yalipita. Komaa tu jamaa huenda utapata mfadhili.
 
Inamaaana naweza nkakosa mkopo au?
 
Wakuu hali inazidi kuwa ngumu..!!
Siku hizi nakula mlo mmoja tu usiku.
Tena wali maharage 1000/=
Bila hata maji ya kunywa.
Wazazi hawana pesa wanasema wamekopa mpaka wamechoka.
Naombeni ushauri nifanye nini???
Nimechaguliwa BACHELOR OF SCIENCE IN NURSING lakini nmekosa mkopo.
Mbna KOZI ZA AFYA MAGU kasema frst priorty ila mimi nmekosa kabisa..
Naombeni msaad jamani wa kifedha nitakufa njaaa.
NAHITAJI MDHAMINI WA KUNIPA PESA YA KULA HATA 50,000.
ASANTENI.
Unamaliza hela kwa kununua bandle wewe
 
Back
Top Bottom