Jamani eti Mwandosya vipi??

Nzowa Godat

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2011
Posts
2,785
Reaction score
824
Nimepata taarifa ambazo si za kufurahisha lakini zisizo rasmi kuhusu afya ya prof. Mwandosya kutoka kwenye blog ya jaizmela.
 
Ni kweli mkuu, jamaa hali yake ni mbaya kwa sasa. Magamba wamemlisha sumu. if u can't fight your enemy, join him
 
Mbona kuna thread iliyorushwa hapa kwamba mzee Mwandosya anaendelea vizuri? Nafikiri sasa ni muda muafaka kwa msemaji wa wizara kutoa tamko rasmi la hali ya Mzee Mwandosya.
 
Mwndosya mbona kahojiwa na ITV from India Taarifa ya Habari saa Mbili leo tarehe 08/10/2011)? Amesema amepata maendeleo makubwa katika afya yake na wote wanaomwombea afe bado wana muda mrefu wa kungoja!! Atarejea muda si mrefu toka sasa.
 
CCM wanakulana kama samaki sasa. Watamalizana. Mwandosya, Mwakyembe, Chifupa, Mwakyusa, Mbatia, ......................................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…