ni pm Mimi nikuuzie nna paketi tatu nlizinunua Nairobi hizi ni imara sana!
ni tamu pia ukishatumia unazifua na kuzitunza !
tangu nizinunue huwa natumia paketi moja tu naifua wakati mwingine nampaga dingi akatumie kwenye michepuko kisha ananirudishia nazifua natumia kwa madem zangu!
naomba msaada kwa wale wataalam wanaojua hizi Condom, zipi ni nzuri kwa matumiz ya binadamu??
siyo kwamba nachepuka!!, ni wasiwasi tu juu ya huyu mke jaman msaada plizzz...!!
ushauri mwingine ni mgumu kuutoa, yaani una wasiwasi na mkeo, solution umeona ni kutumia condom. labda nikuulize utatumia condom kwa huyo mkeo hadi lini? au huo wasi wasi utaumalizaje kwa mkeo? Tatua ishu ya wasiwasi kwa mkeo
Achana na hili b.w.e.g mambo ya kuongelea ya kimaendeleo yako mengi tu , yeye anatuambia mkewe anachepuka. Kwanini alikwenda kuoa changu wakati wanawake wenye heshma wanazehekea kwa baba zao.