masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,371
- 19,235
natamani kumuona huyu kiumbe akipaform live
hapa mujini anapigaga wapi wikiend hiii
alafu baada ya kurudi kaingia bendi gani
KUMBE WEWE NI MUSALITI UMEZOEA KUONJA ONJA KWA KILA MUTU ETI KISA WEWE NI MWANAMKE MZURI SANA
hutaki tuliaaaaa
uzuri ya mwanamke sio sura ni tabia wahenga walishasema