Habari wana JF. Baada ya kupata ma experience ya kutosha toka kwenye autobiography mbili matata za MMU sasa ni bora tukapumua kidogo hapa. Jana chelsea kaendeleza ubabe wake kwa kushinda 3 - 1 dhidi ya Leicester city. Je kwa wale wasioipenda Chelsea bdo mna lolote la kusema kwenye hizi mbio za ubingwa? Wana Man u msije na hasira hapa maana naona sie ndo tuliwaharibia mbwembwe zenu baada ya kuwadunda kamoja tu!!!