Kwa huyo mama wa Kihaya ni ngumu kuchomoka hapo!
Hapo Bwana Bujibuji cha maana ni kuomba msamaha kabla ya kufikishana kwa pilato!
Mbona ni shape ya Kinyakyusa:sorry:
Gwe mama Lughano, ndeke mwinako, kungongesya fiki kuli tulindwana twangu, ngeke une ugwe, mundu nki utupile ukindilile? Hayo ni maneno ya kilugha niliyokuwa namwambia mke wangu mama Lughano, kwamba ananifuatilia nini kwa wanawake wangu vimodo? Aniache nile raha na vimodo, ye nsha mpa gunia la mchele anataka nini cha ziada? Mbuzi Mzee acha ukuda hiyo picha umenipiga muda gani?
He he he he, kumbe Madem B ndio nanii wa Bujibuji, JF kuna mambo mwee
nina wasiwasi na huyu Mbuzi Mzee ninaye muona!!!ndiye yeye kweli huyu au yule kachukuliwa kwa ajili ya xmas!!!He he he he, kumbe Madem B ndio nanii wa Bujibuji, JF kuna mambo mwee
Gwe mama Lughano, ndeke mwinako, kungongesya fiki kuli tulindwana twangu, ndeke une ugwe, mundu nki utupile ukindilile? Hayo ni maneno ya kilugha niliyokuwa namwambia mke wangu mama Lughano, kwamba ananifuatilia nini kwa wanawake wangu vimodo? Aniache nile raha na vimodo, ye nsha mpa gunia la mchele anataka nini cha ziada? Mbuzi Mzee acha ukuda hiyo picha umenipiga muda gani?