Jamani Brenda Rupia

Jamani Brenda Rupia

Wapo wengi ila wakishaingia CCM wanakuwa mazezeta
Maoni yako hayana ukweli wowote. Siku hizi kuna kundi kubwa la wajinga wanaojificha kwenye vyama vya upinzani kama Chadema ili waonekane wapo smart kwa sababu ukiwa mpinzani kazi yako kubwa ni kukosoa utawala uliopo. Lakini huyu mkosoaji ukimpa task aifanye kikamilifu ndio unakuja kugundua naye alikuwa kizibo tu aliyejificha kwenye kivuli cha kukosoa kosoa kazi ambayo ni nyepes kuliko maelezo.
 
Mfano nzuri yeriko Nyerere😅
 
Back
Top Bottom