Jamani Brenda Rupia

Jamani Brenda Rupia

Kama Juma 😅😅
Screenshot_20260429-123251.png

 
Chadema kila mtu anandevu!!

Babu alisema kweli!!

Vijana wa Chadema wanapiga gumzo kumsifia Dada yao!!!

Kama nyinyi kakazake mnajua Dadayenu ni chumaaa !!!!

Wanye meno ni wana CCM tunawashukuru taarifa yenu tutaifanyia kazi Dada kakua mnataka Shemeji mwenye meno!!!!!!
 
Kumbe yupo tayari uyu Dada yenu poleni kwa kuchelewa kupata Shemej!!
Lkn baadae msimponde sasa kwa kumchagua mwenye meno!!!
 

Attachments

  • brendarupiaofficial_80100cd646ef4423b586d064370f67a4.jpg
    brendarupiaofficial_80100cd646ef4423b586d064370f67a4.jpg
    115.3 KB · Views: 2
Back
Top Bottom