Jamani Boxer Inahitajika

Jamani Boxer Inahitajika

MANGWETI

Member
Joined
May 29, 2013
Posts
15
Reaction score
1
Nahitaji Piki2 Aina Ya Boxer Ambayo Haijatumika Zaidi Ya Miezi 6 Na Iliyopo Ktk Hali Nzuri. Iwe Na Documents Zake Zote. Maeneo Iwe Dar Es Salaam, Bagamoyo, Kibaha, Chalinze Au Moro Town. Mawasiliano 0684061951 Piga Au Tuma Sms.
 
Shine inaelekea we si sawasawa na umekosa ustarabu na lugha ya staha.
 
Kwanini usinunue mpya mkuu? bei yake ni 2, 050,000=tu
 
Natamani Kununua Mpya Lkn Sina Pesa Kununua Mpya. Kama Nitapata Iliyo Ktk Hali Nzuri Nitafurahi
 
kuna skymark mpyaa haijatumika zaidi ya miezi miwili ni pm kama wahitaji
 
Back
Top Bottom