Jamani Bongo hata hii imetushinda!!!!

Mbuzi Mzee naomba fedha ya kutibu mbavu zangu!!!!!!!!
 
kweli wakati cc tunalala fofofo ucku wenzetu hawasinzii hata kusinzia
 
Mbona hivyo vya hali ya juu sana, Ulize kiberiti kama tunaweza tengeneza!
 
Baada ya kupata uhakika wa mlo lazima akili itafanya kazi vizuri zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…