Jamani beach kuzuri balaa.....

Jamani beach kuzuri balaa.....

luckyperc

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2011
Posts
495
Reaction score
46
beach.jpg
Ukienda unafaidi kweli......
 
ukienda beach ya miami usa si utaomba uraia kabisa?!!
 
Maisha ni beach jamani usiseme, hata watalii wa beach ni wengi sana kuliko wa mbugani mwituni
 
ni urithi wa kwetu wala usistaajabu wapo 2 kwa ajili yako!!!!!
 
Hahah hahha nimebaki nacheka mzee wa AUDI Q7:biggrin1::biggrin1:


Hahahahah kabla hujaamua uangalie na hiki kitu...si mpenzi wa magari ya Kimarekani lakini hapa jamaa wamejitahidi sana.

2011-Cadillac-Escalade-2.jpg
 
===luckypec!!!!!!!!!!!! Naomba huyo mdada anayeogopa kuogelea nimvunze???? Wapi hapoo..
 
Kweli beach ni kuzuli lakini sie wenzenu wa Kawe hatufaidi beach yetu kwani mafisadi wamejenga nyumba zao na kufunga njia zote za kuendea huko beach; kuna njia moja tu pale kwa Rupia ambayo nayo itakujafungwa mwenye kiwanja akijajenga!! Nawashauri wahusika kuzuia ujenzi haramu unaoendekea Kawe beach sehemu ya Sykes close ambao hata baada ya kuzuiwa na halmashauri hawa waraabu wameendela kujenga na sasa wanajenga gate kuzuia kabisa access ya beach. Sasa wakituzuia kwenda beach vijana wetu si ndio wataanza kufanya uhalifu ; wahusika wa wilaya ya Kinondoni akiwemo Mbunge wa Kawe walifuatilie jambo hili kwani ni la hatari huko mbele lisiposhuhulikwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom