avast ina uninstaller yake ambayo unaipata kwenye website ya avast section ya downloads. Tatizo lako ni dogo, mara nyingi ukitumia avast trial uwa muda ukifika inajifunga, haiaupdate, haifanyi chochote, tatizo ni dogo weka lisence key basi inaanza kazi tena, ningekuwa mwanza ningekupa ya mpaka 2040 nnazo license keys za kutosha

jamani avast antivirus ime- installed BUT, BUT, haifanyi chochote, no updating at all... no uninstalling
yani nimejaribu ku-unistall nimeshindwa.
then button ya capslock iz very slow. laptop ni dell inspiron.
guys i need help!
nipo mwanza.
View attachment 52954 Inaonekana kama hii hapo? Avast ni kali vibaya sana.
Kama haikubali kutoka basi restart alafu click F8 wkt inaanza kuwaka na uiwashie kwenye safe mode. Kisha ifate kwenye program file na uidelete moja kwa moja kisha uwashe kawaida na ui un install kupitia control panel. Ukitaka key zake basi tuwasiliane kwenye Skype Paul Kijoka, ntakutumia na kukupa maelekezo.
Wrong!Hiyo sio AV kabisa,kazi makelele tu yasiyo na msingi. Me nilishaiweka kuitoa ikaniharibia OS.thank God nilikua na Back up. Nimehamia Linux sasa hiv mi virus hiyo nishasahau kabsa. Hamia lnx
Wrong!
Top 3 AV free ni
Avast|Avira Antivir|AVG
Hata katika top IS imo.
Ukikosea kuhandle moto ukachoma nyumba usiulaumu :tape2:
anataka kufanya biashara manually huyoyaani licence keys mpaka uwe mwanza. Ina maana hii sayansi na teknolojia haitoshi kumsaidia?