Jamani ame Malima Bata. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani ame Malima Bata.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by vivian, May 18, 2012.

 1. vivian

  vivian JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2012
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,704
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  HUYU NDIO BATA ALIYEINGILIWA NA BINADAMU MPAKA AKAFA


  Kama ulisikiliza hekaheka za juzi katika leo tena!!
  [​IMG]
  Hii imetokea hapahapa Dar es salaam njemba imekutwa ikimuingilia bata mzinga mpaka akafa.Alimtoa bata kwenye banda na kuingia nae chumbani kwake na kumfanya hicho alichomfanya

  [​IMG]Hapa hali ilikuwa imeshatulia shwari mida ya saa saba ila asubuhi mitaa hii ilikuwa imefunga watu wamejaa kushangaa tukio hilo.
  [​IMG]
  Bata huyo ni wa famili yake na jamaa aliweza kupiga bao zake tatu duuuuh.Alipokutwa hakukataa alielezea kila kitu kuwa


  alikuwa kazidiwa.Wananchi walimbeba mzobemzobe na kumpeleka kituo cha polisi sasa hapo siji mshitaki atakuwa nani??!!  [​IMG]

  Wananchi hawamtaki mtaani kwao asije akawabakia watoto buree.

  [​IMG]

  Ndio hivyo watu husema dunia ina mambo lakini si kweli binadamu ndio wana mambo!!


  picha kwa hisani ya Gea Habib!na Dina marios blogspot
   
 2. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  @ wife umewasilisha vema!...izo hazikua GENYE ni mganga kaagiza.!
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  May 18, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,230
  Trophy Points: 280
  akapimwe akili huyo
  ila uswahilini kuna mambo, walijuaje kama alikuwa na kiburudisho bata? Walikuwa wanamchungulia nini?
   
 4. vivian

  vivian JF-Expert Member

  #4
  May 18, 2012
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,704
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  ha ha ha there you are my boy BAGAH again.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. vivian

  vivian JF-Expert Member

  #5
  May 18, 2012
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,704
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Was just thinking on the same line. ukizingatia Bata halina kelele kubwa. hata kama lingekua linapiga kelele wangujuaje labda alikua analichinja.

  May be kweli ilikua Chabo
   
 6. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #6
  May 18, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  duh! Kwel dunia ina majambo na mambo.
   
 7. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #7
  May 18, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Niaje pacha? Uko poa?
   
 8. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #8
  May 18, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135

  vivian kulikoni huyo bata msafi ivo?...l.o.l
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #9
  May 18, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  pacha ni poa...si unaona wife kaja na uzi wa bata...uswahilini bana...
   
 10. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #10
  May 18, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  nimemwona naona kijana umefurahii kumwona kichuna wako karudi.. Leo kaja kvngne
   
 11. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #11
  May 18, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,230
  Trophy Points: 280
  usifanye masihara na uswahilini kwetu huku, ukila maharage kila siku hata uyaunge na kitunguu swaumu wanajua jamaa ndondo daiky, kwa hiyo usikute movement nzima watu waliiona, wakawa wanashangaa huyo bata anachinjwa ndani? Mbona manyoya hayatupwi?
   
 12. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #12
  May 18, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Sasa BAGAH , ikawaje mtu wangu hata usinitonye kama mambo yalikunyookea kwa Vivy?
  Umesahau debe nililokugongea hadi mishipa ya neck ikanisimama? Au unataka upokwe some marks ?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #13
  May 18, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135

  Judgement braza kwanza pole kwakua mpweke baada ya kupotelewa na mpenzio...hope uko mawindoni,na nnavyokujua utakamata fasta...
  nakumbuka sana juhudi zako bra...vip leo kama vip tukutane pale play-time?nikutonye jambo!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #14
  May 18, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 2,684
  Likes Received: 880
  Trophy Points: 280
  Yaani nyie siku mbili tu za JF-OFFLINE zimewachanganya hata kusalimiana imekuwa shida? haya wewe BAGAH, Nicas Mtei, na BADILI TABIA! Habari za kula ya lazima? na we mamaa vivian umemmisije BAGAH? but all in all [COLOR=8000080]HUYO JAMAA ANASTAHIKI BAN KUBWA YA MVUA NYINGI SANA SEGEREA! AMETHUBUTU KUNAJISI KITOWEO CHA SIKUKUU!? NIPENI UHAKIMU WA MUDA JAMANI NIMSHUGHULIKIE, KHAA?? [/COLOR]
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #15
  May 18, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,230
  Trophy Points: 280
  SALOK,mie mzima,naruka ruka kufurahia jeiefu kurudi hewani. Nimejitolea kuwa mpishi wa Invisible na team yake kwa wiki nzima
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #16
  May 18, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Ni wewe tu!
  Ukiwa ready nambie
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Eversmilin Gal

  Eversmilin Gal JF-Expert Member

  #17
  May 18, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 783
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mbona wanaume wengi walituma text kwamba walishabaka kuku,ngombe mbuzi jamani soo
   
 18. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #18
  May 18, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Hee!
  Yaani ame'mbato mboga !
  Mweee!
  Siku ya kiyama atafufuka nae mkononi !
   
 19. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #19
  May 18, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Duh!!! Yaani amenajis kitoweo. Hii kali.
   
 20. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #20
  May 18, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  SALOK nina usongo na Jf...kumbe umekaa hapa nimepita wala sijakuona na huo weusi wako,tumia carolite bana....tatizo nilichanganyikiwa kumuona vivian
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...