Jamani ame Malima Bata.

Yaani nyie siku mbili tu za JF-OFFLINE zimewachanganya hata kusalimiana imekuwa shida? haya wewe BAGAH, Nicas Mtei, na BADILI TABIA! Habari za kula ya lazima? na we mamaa vivian umemmisije BAGAH? but all in all HUYO JAMAA ANASTAHIKI BAN KUBWA YA MVUA NYINGI SANA SEGEREA! AMETHUBUTU KUNAJISI KITOWEO CHA SIKUKUU!? NIPENI UHAKIMU WA MUDA JAMANI NIMSHUGHULIKIE, KHAA??
Dah,naona mnasalimiana wenyewe humu,Mie mzima kbs SALOK,japo kauchovu kidogo si unajua cha asubuhi!!!
 
Last edited by a moderator:
SALOK nina usongo na Jf...kumbe umekaa hapa nimepita wala sijakuona na huo weusi wako,tumia carolite bana....tatizo nilichanganyikiwa kumuona vivian
Shem wangu BAGAH mbona tunapitana tu jama bila salam?
Haya bana msalimie vivian maana naona mambo yenu mmerekebisha kimya kimya lol!
 
Last edited by a moderator:
Yaani nyie siku mbili tu za JF-OFFLINE zimewachanganya hata kusalimiana imekuwa shida? haya wewe BAGAH, Nicas Mtei, na BADILI TABIA! Habari za kula ya lazima? na we mamaa vivian umemmisije BAGAH? but all in all [COLOR=8000080]HUYO JAMAA ANASTAHIKI BAN KUBWA YA MVUA NYINGI SANA SEGEREA! AMETHUBUTU KUNAJISI KITOWEO CHA SIKUKUU!? NIPENI UHAKIMU WA MUDA JAMANI NIMSHUGHULIKIE, KHAA?? [/COLOR]

Furaha imezd had salamu imesahaulika. Mu hali gani waungwana?
 
Last edited by a moderator:
Nakumiss pia shem wangu. Usalama upo kduchu. Nimestaajabu kuckia dume limembato mboga.
Am happy to c u here shem,
Huyo jamaa lzm alivuta bange bila kula!!
Ila nahisi ana kibamia ambacho wadada wanakikataa na kinamtosha bata,
Think, think shem yan lzm ni kibamia!!!
 
Am happy to c u here shem,
Huyo jamaa lzm alivuta bange bila kula!!
Ila nahisi ana kibamia ambacho wadada wanakikataa na kinamtosha bata,
Think, think shem yan lzm ni kibamia!!!

it begins with you. Kwani wewe huwa unakataa vibamia? Teh.
 
waganga waongo kweli .unweza kukuta aliambiwa kuwa akimmega bata ataokota pesa za kununulia gari
 
Shem wangu BAGAH mbona tunapitana tu jama bila salam?
Haya bana msalimie vivian maana naona mambo yenu mmerekebisha kimya kimya lol!

Cantalisia shemeji yangu unajua kunichanganya...haya leo ndo umetokelezeaje ivo?...sijawahi kukuona umevaa pedo nikakusahau gafla...habari yako shem...miss u.

vivian hana ujanja maana flag inalipa...so kaifagilia...lol
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom