jamani access bank vipi?

jamani access bank vipi?

Nami nasikia w2 walisha itwa na interview walisha piga kitambo ...ata zile za Diamond Trust Bank za tawi la Tabora nazo tyr!!,, ''Nchi hii Lazima ukae''
 
mwenye taarifa kuhusu maombi yetu ya access bank jamni msaada

Kuhusu nafasi za Tabora Access Bank, Kuna jamaa yangu mmoja alhamisi iliyopita ametumiwa sms kwamba tar 27 oct 2013 afike Tabora kufanya written interview. Lakini kuhusu watu waliopo kazini sijajua. Otherwise kama kuna watu wapo kazini ngoja tusubiri hiyo tarehe 27 ndio mengne yatajulikana
 
ww fatilia kuhusu mawasiliano uliyo jaza kwenye Cv hasa email na cm ndio wanatuma sms humo tangu tarehe kumi
 
Nami nasikia w2 walisha itwa na interview walisha piga kitambo ...ata zile za Diamond Trust Bank za tawi la Tabora nazo tyr!!,, ''Nchi hii Lazima ukae''

daah hii kweli lazima ukaee si siri yaani kimya kimyaa
 
Back
Top Bottom