Jaman wako wapi hawa?

Mgirik

JF-Expert Member
Apr 27, 2013
13,208
13,233
Baada ya kujikalia siku nzima yya leo nikiwa nasikiliza redio mara nikawakumbuka hawa jamaa.

Enzi hizo RTD.
Ahmedi Jongo,
fred mtoi,
Bakar msulwa,
Seleman Mzee
n.k

baada ya hapo nikaikumbuka club yangu ya simba.
Lubigisa madata lubigisa,
Steven mapunda garincha
Said sued,
nteze john,
Madaraka seleman,
Emanuel Gabriel,
Yusuf macho muso,
George masatu.
 
Back
Top Bottom