Jaman shem wangu ananitaka mapenzi wana JF nifanyeje

Jaman shem wangu ananitaka mapenzi wana JF nifanyeje

kwanza we wakike au wakiume. hebu jitambulishe vzr, kisha toa uzi wako kwaundani.

Huyu mzushi ndio maana ameandika haraka haraka anaogopa shemeji yake asimuone labda yeye ndio anaye mind shemeji yake
 

So what? Did they tell yu that being a male is a warrant to play with other peoples property? It seems yu are just a kid. Upo form gani weye? Unapoenda kuPM ugali hapo kwa maneno yako meengi ya kishule shule akakusikiliza unadhani anakuhusudu? Hovyoooo
 
We ni kidume au mrembo?Umri wako?We unajisikiaje,unaweza kugawa mwili?Umewahi kuibiwa chako au kuiba cha mtu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom