fazaa
JF-Expert Member
- May 20, 2009
- 2,984
- 1,030
Kajaribu leo kufanya supu ya njiwa afu uende kwenye game kama mwanamke hajasahau chupi yake kitandani afu siku ya pili anajidai kuifata...Njiwa muoneni hivyo hivyo ni hatari.....Kuhusu swali lako Kwato za ngombe si unafanya soup kama kawaida tu, mnaita makongoro sijui huko kwenu mwanza:bounce:Ndio fisrt time nasikia hii
utafanya njiwa wapande bei mjini lol
kwato za ngo'mbe zinafanywaje?kuchemshwa?