jaman naomben ushauri wenu wa dhat jaman naomben sana

Ndio fisrt time nasikia hii
utafanya njiwa wapande bei mjini lol

kwato za ngo'mbe zinafanywaje?kuchemshwa?
Kajaribu leo kufanya supu ya njiwa afu uende kwenye game kama mwanamke hajasahau chupi yake kitandani afu siku ya pili anajidai kuifata...Njiwa muoneni hivyo hivyo ni hatari.....Kuhusu swali lako Kwato za ngombe si unafanya soup kama kawaida tu, mnaita makongoro sijui huko kwenu mwanza:bounce:
 
Kajaribu leo kufanya supu ya njiwa afu uende kwenye game kama mwanamke hajasahau chupi yake kitandani afu siku ya pili anajidai kuifata...Njiwa muoneni hivyo hivyo ni hatari :bounce:


sasa unamchemsha tu na maji unakunywa kabla ya game sio?
 
sasa unamchemsha tu na maji unakunywa kabla ya game sio?
Yani mtu anapo taka kwenda mazowezini sio lazima ale sana, usiende kula ngo'mbe ukashindwa mchakachaka we piga supu tu ya njiwa afu nenda kwenye mchaka mchaka utaona tofouti...Usidhani kula sana ni afya, au ngombe kwa kuwa mkubwa sana ndo ana faida kuliko njiwa :biggrin:
 
Yani sweet lady we unamdharau njiwa lakini huyo anarusha salamu mpaa anaye pelekewa salamu anasema leo zimefika :poa:A S-fire1:

Hahahaaaha ......haya bana ubiri mtoa mada aje labda atafuata ushauri wako!
 
dah pole mkuu..... Na pole kwa huyo dada...maana ukiingiza tu tayari........

Wataalamu mkuje mumfundishe mwanaume mwenzenu jinsi ya kujizuia
 
jaman naomben mnishauri bila kunijibu vbaya naomba tena sana. mimi ninatatizo ya kukojoa pindi tu ninapoingiza uume wangu kwenye uke wa mwanamke pale nnapofanya tendo la ndoa. nmejitahid kufanya taratibutaratibu tendo hilo ila tatizo lko palepale. hadi mpenz wangu ameniambia endapo litaendelea itabid aniache kwa sababu simridhishi nami nampenda sana mpenzi wangu nisaidien
kwanza pole!ila sasa linahitaji melezo zaid ya haya kabla ya kushauri!yani maelezo umetoa too general!manake kama ingekuwa unawahi kukojoa unapoingia tu ukeni ningesema utumie muda mwingi kufanya foreplay.yano ikiwezekana upige deki hapo hata mara tau i see!lakini sasa kama unashindwa kuhold bak ejacaculation hata kabla ya kuingia ukeni means hilo ni tatizo kubwa zaidi!all in all yapo mambo na mwanamke wako inabidi afanye pengine kupunguza hiyo hali,anavokupresuurize hivo ndo utashindwa kabisa hata kudinda kaka angu!
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom