Jaman naomben msaada kwa anae jua maeneo ya field apa Dar. Mimi nasoma mechanical Engineering Diploma DIT ndo niko mwaka wa kwanza nlikua naomben msaada wa kuelekezwa maeneo ya kwenda ku apply Field.
Field ya mechanical engineering inapatikana viwanda vingi vya uzalishaji, Kuanzia viwanda vya nguo, mafuta na gesi, soda, ngano, powerplants, veta, sido, railway, kampuni za usafirishaji ie;BRT, mamlaka ya usafiri wa anga, karakana za Serikali na halmashauri, kampuni kubwa za ujenzi, kwenye miradi mbalimbali ya Serikali yetu mf. reli ya mwendo kasi na bwawa la umeme.
ni juu yako Mkuu kutafuta sehemu ya kufanya hayo mafunzo ya vitendo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.