Jaman nafanyaje kuapply for 3rd round ya tcu

Jaman nafanyaje kuapply for 3rd round ya tcu

mizdo

Member
Joined
Jun 17, 2013
Posts
21
Reaction score
3
Mana majina yametoka 2nd round cjabahatika na kila nikichek website yao naambiwa "could not locate remote server"..nimechanganyikiwa na deadline ni 30th august..nisaidien jaman
 
Pole sana dogo. Kwanza omba wanaohusika wahamishe uzi kwenda kwenye Jukwaa la Elimu. Huko kuna Wataalamu wenye uzoefu mkubwa sana kwenye suala zima la NACTE, TCU na sasa hivi wamehamishia mashambulizi kwenye "boom"!
Ninaamini utapata msaada tu!
 
Mana majina yametoka 2nd round cjabahatika na kila nikichek website yao naambiwa "could not locate remote server"..nimechanganyikiwa na deadline ni 30th august..nisaidien jaman

NENDA OFISI ZAO.. WAFUATE, Acha kulegeza kamba
 
Back
Top Bottom