Jaman! Na miba miba hii, Nungu nungu anazaaje?

Mbona na sisi tuna mibamiba Mkuu, au hujawahi kukutana nazo!!?
 
Hushangai VICHECHE
Wanavopata rizki zao (chakula)kwa kupitia nanhino?
Ukimwona kicheche anamnyemelea kuku utapenda

Anaingia ktk kichaka kisha anaibetua Tigo yake inachomoza kwa juu

Kosa kuku akiidonoa anambana papo hapo hlf ndukii!!!!!!!!
 
Dah, mawazo kama jamaa kwenye Avatar yako, mbona tofauti kabisa na mada iliopo mezani mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…