Jaman mapenz yapo kwel hapa.

Wewe je unampigia au unangojea hadi hiyo siku ya ku du?
mwanzon nilkuwa nampigia ila kwa sasa nimeachia ngaz cmpigii wala kumtext,mpaka cku aamue yy kunitext na hujikuta na reply text zake au kupokea cmu zake,ila stil vtu anavyotaka hapo ni hvyo hvyo.
 
Ha,ha,ha,ha,haaaa muulize gwaride analolipata hapa,fuull mautam,madogo hawayawezi maujanja hayo!

Wewe hujui tu...tuulize vijana wa mjini... juzi hapa Kaunga kaja na thread inayosema "mpenzi wangu hanitoshelezi" kwa ID tofauti we zubaa hapo
 
Last edited by a moderator:
mwanzon nilkuwa nampigia ila kwa sasa nimeachia ngaz cmpigii wala kumtext,mpaka cku aamue yy kunitext na hujikuta na reply text zake au kupokea cmu zake,ila stil vtu anavyotaka hapo ni hvyo hvyo.

Wakati ukisubiri text yake jee unajisavia wapi hiyo nanii?
 
Yaani ni paka siku awe na shida ya kudu?(yaani kukupanda) na kuuweka wazi ubinti wako huku matendo ayafanyayo mwilini mwako yanasema wazi we ni CHOMBO CHA STAREHE yake mfano wa kituo cha mafuta jamaa kurudisha Gauge Meter iwe FULL then akampe maraha yule anayempigia na kumtext kila wakati..dah inauma kufanywa UWANJA wa mazoezi kwa zaidi ya miezi 8 hapa naashumu kwamba ile miezi mi4 ya mwanzo alikuwa na some sort of feelings towards you..we mtu mzima bwana nataka kuona Thread ifuatayo utakuwa ukishukuru kuwekwa huru na wachache walochangia hapo juu
 
Unasubiri nini kuchapa laba? Ngoja akuchakachue mpaka izeeke then akukimbie, hamna penzi hapo utabaki na manyoya tu.
 
amwombe mungu ktk uasherati!?

we Refa,kwani uasherati ni mtu? Na Mungu anaombwaga uasherati au ni binadamu tu anakosea matumizi ya alichopewa?!,kwa tamaa zake..We wako ulimpataje mkuu?nlimaanisha Amuombe Mungu, ampe wake wa maisha as long as muda unaruhusu.
 
Asanten wote jaman 4 ur advice kiukwel iril apreciat t,coz ushaur wenu umenipa nguvu ya kuanza kuchukua atua kujiondoa kwnye huo utumwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom