M msakahabari Member Joined Jul 6, 2012 Posts 29 Reaction score 8 Feb 20, 2014 #21 Ms. Kadadaa jumapili said: Jaman kukosa kazi huku kunanichelewesha mambo mengi kama kuolewa, nyumba, gari na biashara hadi inaniopunguzia idadi ya watoto, heh. Hatari kubwa sana, tokea 2011 niko mtaani. Click to expand... Kumbuka uchaguzi ulikuwa 2010 kwa hiyo subiri sasa utapata maana uchaguzi mwaka ujao na lazima watoe ajira
Ms. Kadadaa jumapili said: Jaman kukosa kazi huku kunanichelewesha mambo mengi kama kuolewa, nyumba, gari na biashara hadi inaniopunguzia idadi ya watoto, heh. Hatari kubwa sana, tokea 2011 niko mtaani. Click to expand... Kumbuka uchaguzi ulikuwa 2010 kwa hiyo subiri sasa utapata maana uchaguzi mwaka ujao na lazima watoe ajira
Idimi Platinum Member Joined Mar 18, 2007 Posts 15,664 Reaction score 11,752 Feb 20, 2014 #22 Shamkware said: tafuta mchumba uolewe usisubiri kupata kazi! Click to expand... Assume mchumba nae anasaka kazi, ni mwaka wa nne huu hajapata. Wataishije?
Shamkware said: tafuta mchumba uolewe usisubiri kupata kazi! Click to expand... Assume mchumba nae anasaka kazi, ni mwaka wa nne huu hajapata. Wataishije?
Elerai JF-Expert Member Joined Dec 29, 2012 Posts 474 Reaction score 139 Feb 20, 2014 #23 cocktail said: Pole tupo wengi mwenzako mie tangu 2010 sina kibarua mbaya zaidi nikaolewa cha kusikitisha kazi huna watoto huna pata picha unajiskiaje full stress Click to expand... Ngumu kumesa aisee uliolewa 2010 mpak now no doughter nor son apo jamaa anakuvumilia tu. asijekkuksepesha . All in all pole ndug yangu
cocktail said: Pole tupo wengi mwenzako mie tangu 2010 sina kibarua mbaya zaidi nikaolewa cha kusikitisha kazi huna watoto huna pata picha unajiskiaje full stress Click to expand... Ngumu kumesa aisee uliolewa 2010 mpak now no doughter nor son apo jamaa anakuvumilia tu. asijekkuksepesha . All in all pole ndug yangu
Ms. Kadadaa jumapili Senior Member Joined Jul 9, 2013 Posts 102 Reaction score 48 Feb 20, 2014 Thread starter #24 asante kwa kunipa moyo wangu.