Jaman Kukosa Ajira Huku...

Jaman Kukosa Ajira Huku...

Jaman kukosa kazi huku kunanichelewesha mambo mengi kama kuolewa, nyumba, gari na biashara hadi inaniopunguzia idadi ya watoto, heh.

Hatari kubwa sana, tokea 2011 niko mtaani.
Kumbuka uchaguzi ulikuwa 2010 kwa hiyo subiri sasa utapata maana uchaguzi mwaka ujao na lazima watoe ajira
 
Pole tupo wengi mwenzako mie tangu 2010 sina kibarua mbaya zaidi nikaolewa cha kusikitisha kazi huna watoto huna pata picha unajiskiaje full stress
Ngumu kumesa aisee uliolewa 2010 mpak now no doughter nor son apo jamaa anakuvumilia tu. asijekkuksepesha .
All in all pole ndug yangu
 
Back
Top Bottom