si kweli kaka, nimemaliza pale, swala la one za point 3 inategemeana na mwaka, na kwa sasa kibaha ni nzuri kuliko Mzumbe na Ilboru, kama huamini fuatilia matokeo kuanzia 2009.
Mdogo wangu hongera sana ile shule ni nzuri kuanzia academic hadi maladhi.