Jaman, jaman, jaman jf mambo??

Jaman, jaman, jaman jf mambo??

jf home of great thinker, logo hapa ndiyo umefika,
majungu no ukweli uhakika,
welcome logo

Majungu sipendi, Napenda ukweli na uhakika.
Siko kama wale TBc, uhakika wameukwepa.
 
karibu sana logo,uu mgeni lkn sioni kamba mguuni! Unamfahamu klorokwin na katavi?
 
huyu inaonekana kijijini kwao wanamuita "mozilla firefox", si unaona avatar yake.

Karib Logo bana ,naitwa klorokwini, familia yetu tupo sita,katika hao sita mimi peke yangu ndio greti thinka.
 
hahahahahahaha! Na hao watano je?? Umenchekesha balaaaaaa! Nkionaga michango yako huwa naanza kucheka kwanza ndo nasoma!!

he he he!we pekee ndo greti thinka،,lol!hiyo familia inaundwa na kina nani Mungu wangu!😕
 
Wengine wanaitwa
1.Fansida
2.metakelfin,
3.SP,
4.Cafenol
5.na .....
Wako karantini

he he he!we pekee ndo greti thinka،,lol!hiyo familia inaundwa na kina nani Mungu wangu!😕
hehehe nyinyi badala ya kumkaribisha muheshimiwa logo na mashairi yake ya kiduku nyinyi mnafatilia detail za familia ya mod mtarajiwa klorokwini, nikishinda kura za maoni za umod mtakoma!
 
571.gif

Pata kinywaji kwenye fridge hapo pembeni. Jisikie uko nyumbani kabisa.
 
karibu sana logo,uu mgeni lkn sioni kamba mguuni! Unamfahamu klorokwin na katavi?

Wiselady usijali, wengi nawafahamu.
niliwaona nje, wakati nikichungulia.
Nakufurahia kwa avater, wanafanana na shemeji.
Angalia tusijegongana, Jf ikatuweka wazi.
 
karibu ukaribie,upewe jamvi ukalie na kitako utulie

Ng'o kutulia siwezi, maana nawashwa.
Kuyasema yote yanikunayo, ufisadi umezidi.
Nchi yetu ni tajiri, umaskini watufunika.
Tufanyeje watanzania, kujikomboa na umaskini?
 
Mh! logo umekuja kwa mbwembwe!!!!!!! ila nimeipenda hiyo, karibu sana jamvini
 
Logo wako umalenga,umepuliza kipenga
vina mizani napinga,havikukaa kihenga
jaribu tena kupanga,kimaneno kuyalenga
karibu logo mpunga,tule sote tukiringa
 
hehehe nyinyi badala ya kumkaribisha muheshimiwa logo na mashairi yake ya kiduku nyinyi mnafatilia detail za familia ya mod mtarajiwa klorokwini, nikishinda kura za maoni za umod mtakoma!

Lazma zengwe lipigwe, ngoja nikale kozi ya fitna na mizengwe kule kwa wenye magamba
 
Back
Top Bottom